Mara nyingi ni vigumu mwanamke kugundua kama ameshika mimba siku za
mwanzoni hadi pale anapokosa kuona siku zake za hedhi. pamoja na ugumu
huo kuna dalili ambazo zinaweza kufanya uhisi kama una mimba katika siku
za mwanzoni ambazo ni kuanzia siku ya 18 toka mimba itungwe.
Dalili hizi zinatofautiana kwa kila mtu, wapo ambao wanaweza kuzipata
zote na ambao hupata baadhi tu ya dalili hizi na pia wapo ambao
hawazipati kabisa.
Miongoni mwa dalili hizo ni pamoja na:
1.JOTO LA MWILI KUPANDA.(basal body temperature stay high)
...