Thursday, 5 December 2013

STRESS Vs ADDICTION

STRESS Vs ADDICTION         the stressful situation that is associated with increased intensity or persistence of distress—the greater the uncontrollability and unpredictability of the stressful situation, lower the sense of mastery or adaptability, and greater the magnitude of the stress response and risk for maladaptive behaviors such as drug addictio...

JE UNAFAHAMU FAIDA NA UMUHIMU WA TENDO LA NDOA KWA WANA NDOA...?? SOMA HAPA NIKUFAHAMISHE,,,,

Kuwepo na mapenzi ya dhati kati ya wanandoa hufanya mambo mengi kuwa rahisi na mepesi bila kujalisha ni kipindi cha furaha au majonzi; sababu inakuwa upo na mtu ambaye anakufanyia unafuu wa mhusika kuamini kuwa kila kitu hatimaye kitakuwa sawa mradi huyo mpenzi wako yupo karibu na wewe anakupenda na mnashirikiana vilivyo kwa kujaliana kwa misingi ya ‘Chake changu, changu chake’.   Mapenzi na kufanya mapenzi baina ya wawili wapendanao hasa ...

BAADA YA SHULE KUFUNGWA MWALIMU WA SEKONDARI AMUA KUUZA KAHAWA MTAANI...!!

     Hivi ndivyo Mnyetishaji wetu alivyomnasa ticha huyu wa sekondari mkoani Dodoma akiuza kahawa mtaani ili kujinusuru na ukata wa maisha magumu ya kitaa,  ''Leta chikompe kyako nkupe kyai kya mata na kyai kya kapyaru...au kiguuju'' tcha jimmy:   Pia mwalimu huyo pamoja na shughuli zote za uwalimu na kuuza kahawa pia na msanii anayefanya vizuri kwenye Game la music husasani mkoa wa Dodom...

"Propaganda zinazoendelea sasa hivi zinatuimarisha CHADEMA"......Dk. Slaa

KATIBU Mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA), Dk. Willibrod Slaa, amesema kamwe chama hicho hakitakubali kuwa legelege katika kusimamia misingi yake, ikiwemo katiba inayowaunganisha wanachama wote. Alisema kuwa licha ya kuzushiwa propaganda nyingi ikiwemo udini na ukabila, lakini chama hicho kimefanikiwa kuzishinda hali aliyoelezea imewakomaza katika safari yao ya kuchukua madaraka. Kauli hizo alizitoa jana mjini Kahama...

MIZENGO PINDA:MSHAHARA WANGU KAMA WAZIRI HAUZIDI SH MILION 6..

Waziri Mkuu amedai bungeni muda huu kwamba mshahara wake hauzidi Tsh. 6mil na akadai wanaodai analipwa zaidi ya hapo ni uzushi mkubwa kiasi kwamba yeye ni mkopaji tu katika mabenki na kuwa mshahara huo ni pamoja na mapato ya mkewe.Source: Leo Bungeni -TBC ...