Thursday, 13 March 2014

UTAGUNDUAJE KAMA UNA MIMBA CHANGA?

Mara nyingi ni vigumu mwanamke kugundua kama ameshika mimba siku za mwanzoni hadi pale anapokosa kuona siku zake za hedhi. pamoja na ugumu huo kuna dalili ambazo zinaweza kufanya uhisi kama una mimba katika siku za mwanzoni ambazo ni kuanzia  siku ya 18 toka mimba itungwe. Dalili hizi zinatofautiana kwa kila mtu, wapo ambao wanaweza kuzipata zote na ambao hupata baadhi tu ya dalili hizi na pia wapo ambao hawazipati kabisa. Miongoni mwa dalili hizo ni pamoja na: 1.JOTO LA MWILI KUPANDA.(basal body temperature stay high)   ...