Saturday, 30 November 2013

BENEFITS OF ONIONS

Never mind the tears they bring on—onions are an ace ally in your fight against disease. A prized member of the lily family, they lavish you with health benefits while adding oodles of taste to your food. A quick glimpse at their incredible health benefits: The phytochemicals in onions improve the working of Vitamin C in the body, thus gifting you with improved immunity. Onions contain chromium, which assists in regulating blood sugar. For centuries,...

TAZAMA UZURI WA NYUKI ULIVYO

Baadhi ya wataalamu nchini wameanza kufanya utafiti juu ya tiba hii ya nyuki katika kutibu ‘gouts’. Waswahili wanasema, mtaka cha uvunguni sharti ainame. Pia wanasema, anayependa waridi, basi avumulie miiba. Vivyohivyo, hata katika tiba, wale wanaotaka uponyaji wamejikuta wakivumilia mambo mengi yanayoleta maumivu au kukera kama vile sindano na dawa. Hivyo, usishangae kuwa kuumwa na nyuki ikawa ni tiba tosha na thabiti kwako. Wanasayansi wa...

Friday, 29 November 2013

DAWA YA MAFUA ISIYO NA MADHARA

Watu wengi husumbuliwa sana na mafua makali na wakati mwingine kupiga chafya mfululizo. Ili kuondokana na tatizo la mafua unashauriwa kuandaa kinywaji kifuatacho kisicho na kemikali : MAANDALIZI Chukua : 1. Maji lita moja 2. Asali vijiko 3 vikubwa vya chakula 3. Tangawizi ya unga kijiko kimoja kikubwa cha chakula au tangawizi mbichi itwange upate mchanganyiko uliopondeka kijiko kimoja kilichojaa. Chemsha mchangyanyiko wako wote huo kwa pamoja...

AFYA JE..?? FAHAMU KIUNDANI UGONJWA WA PUMU (ASTHMA) NA DALILI ZAKE...

Utangulizi Ugonjwa wa pumu ni ugonjwa sugu ambao huathiri njia za hewa ambazo huingiza na kutoa hewa katika mapafu. Upatapo ugonjwa wa pumu, kuta za ndani za njia ya hewa hupata maumivu (inflammation) na kuvimba. Maumivu katika njia za hewa huzifanya kujihami kwa kusinyaa na hivyo kupunguza kiasi cha hewa kinachopita kwenda kwenye mapafu. Hali hii husababisha muathirika kutoa mlio kama wa filimbi au mluzi wakati wa kupumua.  Pumu...

AFYA JE...?? UNAFAHAMU FAIDA ZA KULA MBEGU ZA MABOGA....?? SOMA HAPA NIKUJUZE...

Unaweza kuzidharau mbegu za maboga, lakini ni miongoni mwa mbegu zenye faida kubwa mwilini, zinazoweza kuzuia na kutibu hata magonjwa hatari yaliyoshindikana hospitalini. Kwa mujibu wa utafiti wa kisayansi uliokwishafanyika, zifuatazo ni faida za kifya mtu anazoweza kuzipata kwa kula mbegu za maboga, zikiwa mbichi ama zilizokaangwa:HUIMARISHA MOYO, MIFUPAMbegu za Maboga (Pumkin Seeds), zina kiwango kingi cha madini aina ya Magnesium...

KWA WANAWAKE: FAHAMU DALILI KUMI ZA AWALI ZA KUGUNDUA KAMA UNA UJAUZITO (MIMBA)...

MWANAMKE anapopata ujauzito kwa kawaida huwa anaanza kuona dalili ambazo si za kawaida. Na ni wakati huo ambao ni muafaka kwake kuanza kuuchunguza mwili wake.Maumivu kwenye matiti:Hii ni dalili ya kawaida ya ujauzito ambapo nguvu za homoni mwilini huongezeka wakati yai linavyopata “rutuba”, jambo ambalo huongeza wingi wa damu na kuyafanya matiti ya mwanamke kuvimba na kuwa makubwa isivyo kawaida.Maumivu mwilini:Utaanza kusikia maumivu kama...

MMMHHH HII KALI...!! MAITI HUFUKULIWA MAKABURINI ILI KUBADILISHWA NGUO KATIKA KISIWA CHA SULAWESI HUKO INDONESIA..

  KILA mwaka huko kaitika kisiwa cha Sulawesi, Tana Toraja, Indonesia, wafu (au maiti) hufukuliwa kutoka makaburini ili kubadilishwa nguo na kuwatembeza kijini hapo. Watu wa eneo hilo wa kabila la Toraja wana mila ya ajabu inayoiitwa Ma’nene  ambayo wanaamini mtu akifa bado yuko nao kwa hiyo inawalizimu kufanya mambo hayo kama kuwabadilisha nguo. Wao mtu akifa hutakiwa kuzikwa katika eneo alilozaliwa na si lazima azikwe katika...

MAMBO 10 YA KUFANYA KABLA HUJATIMIZA MIAKA 26...

1. Jifunze kuweka akiba ya fedha na iache bila kuigusagusa.  2. Tafuta mpenzi sahihi na tulia naye, panga maisha.  3. Ishi mahali pa peke yako, acha kuishi kwa wazazi au kupanga na nyumba na washkaji.  4. Lipa madeni yako ya zamani. Yote!  5. Tengeneza mwili ambao unataka halafu jitahidi kuu-maintain! Anza kuzingatia kuishi kwa kujali afya yako sana.  6. Jitahidi uwe na marafiki ambao wana changamoto za kimaendeleo...

UTAFITI: HAYA NDIO MADHARA YA INTERNET KWA VIJANA...SOMA HAPA KUYAFAHAMU...

  MAMILIONI ya vijana duniani kote wanatumia intaneti, iwe nyumbani, shuleni, kwenye nyumba za marafiki au kwenye simu zao za mikononi. Huenda watoto wako wanaielewa sana dunia ya intaneti kuliko wewe, na hata wanaweza kukuficha mambo wanayoyafanya kwenye intaneti. Hata hivyo unaweza kujua mambo yanayowahangaisha vijana na watoto kwenye intaneti na si lazima uwe mtaalamu wa vifaa vya elektroniki ili uweze kumlinda mtoto wako. Katika ...

Mpasuko Chadema sasa Baraza kuu

BAADA ya Katibu Mkuu wa Chadema, Dk Willibrod Slaa kufunga mjadala wa mgogoro unaoendelea ndani ya chama hicho, agizo hilo limeonekana kufuatwa vema na wajumbe wa Kamati Kuu, lakini limewafungua wajumbe wa Baraza Kuu, Mkutano Mkuu na taasisi za chama hicho. Tayari imeripotiwa kuwa uamuzi wa chama hicho kumvua madaraka aliyekuwa Naibu Katibu Mkuu, Kabwe Zitto na aliyekuwa mjumbe wa Kamati Kuu, Dk Kitila Mkumbo, umeipasua Kamati hiyo katika...

Hivi Ndivyo DIANOND Alivyowafanyia Usaili Waliotuma maombi ya Kujiunga kundi lake la WCB-WASAFI..

Siku ya jana tulifanya zoezi la kuwafanyia interview  baadhi ya watu waliotuma maombi yao kwa  mujibu wa ,tangazo la kazi nilillolitoa                                                                       juzi,mwitikio  wa watu ulikuwa mkubwa,watu...

WATANZANIA WAWILI WANASWA NA SHEHENA YA KILO 55 ZA MADAWA YA KULEVYA HUKO AFRIKA KUSINI...!!

Johannesburg/Dar.  Watanzania wawili wanahojiwa na Polisi wa Afrika Kusini baada ya kukamatwa jana na kilo 55 za dawa za kulevya.  Watu hao wawili wanatazamiwa kufikishwa mahakamani kesho kujibu tuhuma za kukamatwa na dawa hizo zenye thamani ya Rand75 milioni (Sh11.7 bilioni). Maofisa wa Kikosi Maalumu cha Kupambana na Makosa ya Jinai na Rushwa cha Afrika Kusini (The Hawks), kiliwakamata watu hao katika Kitongoji cha Kempton...