Tazama kansa ya shingo ya kizazi, ndio kansa inayoongoza katika kansa zote zinazowapata wanawake. Huchukua 20% ya kansa zote zinazowapata wanawake.
Hizi ni baazi ya shingo za vizazi zilizotolewa ili kusaidia kupunguza ukali wa ugonjwa.
Kansa hii hutibika iwapo itawaiwa katika hatua za awali.
![]() |
Add caption |
![]() |
Add caption |
0 comments:
Post a Comment