Waziri
Mkuu amedai bungeni muda huu kwamba mshahara wake hauzidi Tsh. 6mil na
akadai wanaodai analipwa zaidi ya hapo ni uzushi mkubwa kiasi kwamba
yeye ni mkopaji tu katika mabenki na kuwa mshahara huo ni pamoja na
mapato ya mkewe.
Source: Leo Bungeni -TBC
Thursday, 5 December 2013
MIZENGO PINDA:MSHAHARA WANGU KAMA WAZIRI HAUZIDI SH MILION 6..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment