Hii
itakuwa ni kwa mara kwanza kwa mwimbaji wa Tanzania na pengine Afrika
kuwa followed na Rais Barack Obama wa Marekani kwenye twitter ambae ana
zaidi ya followers milioni 40 lakini yeye anafollow watu laki sita.
Vanessa
Mdee ameingia kwenye list ya watu laki sita ambao Rais Barrack Obama
ana wa-follow sasa hivi ambapo baada ya Rais huyu kufollow, kwa furaha
Vanessa alishare kwenye instagram screenshot ya ukurasa wake wa twitter
ukionyesha Barack Obama ameanza kum-follow.
Kama ilivyo twitter, hii inamaanisha ana Vanessa ana uwezo wa kumuandikia msg binafsi kwenye inbox Rais Obama.
Tuesday, 26 November 2013
HUYU NDIYE MSANII PEKEE WA BONGO AMBAYE BARACK OBAMA AMEM-FOLLOW KWENYE TWITTER...!! BOFYA HAPA KUMJUA..
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
0 comments:
Post a Comment