APPLES Protects your heart, prevents constipation, Blocks diarrhea, Improves lung capacity Cushions joints
APRICOTS Combats cancer, Controls blood pressure ,Saves your eyesight ,Shields against Alzheimer's ,Slows aging process
ARTICHOKES Aids digestion, Lowers cholesterol, Protects your heart, Stabilizes blood sugar Guards against liver disease
AVOCADOS Battles diabetes, Lowers cholesterol, Helps stops strokes, Controls blood pressure Smoothes skin
BANANA Protects your heart, Quiets a cough, Strengthens bones, Controls blood pressure, Blocks diarrhea
BEANS Prevents constipation, Helps hemorrhoids, Lowers cholesterol, Combats cancer, Stabilizes blood sugar
BEETS Controls blood pressure, Combats cancer, Strengthens bones, Protects your heart, Aids weight loss
BLUEBERRIES Combats cancer, Protects your heart, Stabilizes blood sugar, Boosts memory , Prevents constipation
BROCCOLI Strengthens bones, Saves eyesight, Combats cancer, Protects your heart, Controls blood pressure
CABBAGE Combats cancer, Prevents constipation, Promotes weight loss, Protects your heart, Helps hemorrhoids
CANTALOUPE Saves eyesight, Controls blood pressure, Lowers cholesterol, Combats cancer Supports immune system
CARROTS Saves eyesight, Protects your heart, Prevents constipation, Combats cancer, Promotes weight loss
Unaweza badilisha tabia ya mtoto wako au mtu yeyote unaeishi nae nyumba moja asiyependa kula mboga majani au matunda kwa kubadilisha muonekano wa chakula hicho au tunda hilo kwa kulinakshi kwa mtindo wowote ule ilimradi kionekane kitu tofauti na kinachovutia hii itakua njia rahisi sana kumvutia mtoto au mkubwa chakula kizuri au upambaji wa chakula sio mpaka hotelini hata nyumbani unaweza fanya sanaa hii na wala haiitaji muda mrefu wa maandalizi muonekano bora wa chakula hutia hamasa kwa mlaji leo tutaangalia utengenezaji wa salad na kuipamba na uandaaji wa mboga ktk muonekano wa kuvutia upande wa kuchonga matunda tutaangalia wakati ujao fata maelezo jinsi ya kutengeneza salad yenye mchanganyiko wa mboga mboga hapo chini.
Hili ni jokofu
la kutunzia mchanganyiko wa mboga katika nyuzi joto 4 hadi 5 tu kwa hali
ya usalama sana kwa manufaa na afya ya mlaji tukianzia juu kushoto ni
mahindi mabichi ya njano kabla huifadhiwa katika kopo tayari kwa
matumizi, karoti iliyokwaruzwa, Lime stone lettuce, chicory, Radish
iliyokwaruzwa, zucchin iliyokwaruzwa, rollo nyekundu, rollo ya kijani,
matango yaliyokatwa, celeriac salad, curly endive, chicory nyekundu.
Katika sahani
yako anza kupanga mboga ambazo zimekatwakatwa ambazo ni karoti,
matango, mahindi machanga ya njano, celeriac salad na radish nyeupe
Chota kidogo kidogo kila moja panga kwa mtindo wa duara nusu sahani tu kama mduara wa nusu mwezi kati kati acha nafasi kiasi.
Baada ya hapo
chukua jani la salad moja moja toka kila aina ya salad pagange sambamba
majani hayo kisha zungusha yabane kama unataka kuyafunga kamba kisha
kata kiasi upande wa chini utakua umepata kitako safi utakua
umetengeneza kama uwa rozi.
Kisha liweke
juu ya zile mboga mboga pembei yake kata kipande cha tikiti maji rangi
yeyote ile kama ni la kijani, jekundu au rangi ya chungwa pamba kama
invyoonekana katika picha.
Kisha kata
slice nyembamba ya chungwa katikati yake weka tunda lolote dogo la
mviringo kama zabibu au strawbery chomeka toothpick ili ishikilie
chungwa juu ya tikiti maji.
Salad hii
unaweza mwagia dresing yeyote ile mfano italian dressing, french
dressing au siki na chumvi inatosha salad hii unaweza kula na kipande
cha kuku, samaki wakuchemsha au wa kukaanga na unakua umekula mlo safi
kabisa bila stach kwa watu wanaofanya dayati hapa ni mahala pake mvuto
na muonekano wa sahani utamfanya mlaji avutie hata kama si mpenzi wa
mboga na matunda.
Hili ni jokofu
la kutunzia mchanganyiko wa mboga katika nyuzi joto 4 hadi 5 tu kwa hali
ya usafi sana kwa manufaa na afya ya mlaji tukianzia juu kushoto ni
nanasi iliyopikwa katika sukari, embe mafuta, cappers, vitunguu vidogo
vya kopo, chopped chives, chopped onion, olives nyeusi, asparagus,
matango machanga yaliyosindikwa, olives zakijani, Nyanya
Katika sahani
yako anza kupanga mboga ambazo zimekatwakatwa ambazo ni karoti, matango,
mahindi machanga ya njano, celeriac salad na radish nyeupe.
Chota kidogo kidogo kila moja panga kwa mtindo wa duara kuzunguka sahani yote katikati acha nafasi.
Baada ya hapo
chukua jani la salad moja moja toka kila aina ya salad pagange sambamba
majani hayo kisha zungusha yabane kama unataka kuyafunga kamba kisha
kata kiasi upande wa chi utakua umepata kitako safi utakua umetengeneza
kama uwa rozi.
Kisha
liweke pembeni ya zile mboga mboga katikati ya sahani unaweza weka
mchanganyiko wowote ule wa nyama ya kuku, ngo'mbe, samaki au sausage
iliyochemshwa ikapoa.
Kata saizi ya kuweza kuingia mdomoni kisha changanya na vitunguu vilivyochopiwa safi pamoja chives.
Mchanganyiko
huo unaweza malizia na chaguo lako la dresing yeyote uipendayo kisha
unamwagia kati kati ya sahani mwisho kata nyanya kipande weka pamoja na
tango dogo la kopo na olive moja ya kijani na moja nyeusi kwa kupamba
salad yako.
Kwa upande wa mlo kamili baada ya kupika chakula chako kikaiva kama ni ugali au wali
Chemsha njegere zisiive sana
Kisha kata vitunguu vidogo sana kaanga katika siagi dakika 1 tu
Kisha weka hizo njegere zilizoiva katika sufuria kwa dk 2 usiasahau chumvi kisha zitoe
Chukua nyanya nzuri ngumu iliyokwisha iva kata nusu pia kata kidogo katika kitako ili iweze kukaa katika sahaki
Kisha toa mbegu zote katikati ya nyanya tumia kijiko kuchota na jaza zile njegere kwanye nyanya
Kisha save nyanya hiyo yenye njegere kama mboga majani itakayo ambatana na chakula chako kama ni cha mchana au cha usiku.
Muonekano na mchanganyiko wa rangi inakua kivutio kizuri sana kwa mtu asiependa kula mboga majani.
Sasa hapa ndio utawakamata kweli kweli wasiopenda kula mboga za majani,
Chukua maharage mabichi yachemshe kiasi yasiive sana yabaki na rangi yake nzuri ya kijani
Kisha unachukua bacon slice zipo aina mbili zipo bacon za nguruwe na bacon za ng'ombe chaguo ni lako mlaji.
Kisha chukua
maharage hesabu kumi na tano kisha zungushia bacon katika maharage hayo
weka katika ubao wa kukatia kata ncha za mwisho ili kuweka usawa na
muonekano mzuri zaidi.
Ukishamaliza
weka kikaango kwenye jiko la moto wa wastani tu weka mafuta kiasi katika
kikaango yakishapata moto weka maharage yaliyozungushiwa bacon kaanga
kiasi tu ili ile bacona ikauke.
Kisha toa
tayari kwa chakula pia sevu kama mboga majani itakayo ambatana na
chakula chako kama ni cha mchana au cha usiku. Muonekano na mchanganyiko
wa rangi inakua kivutio kizuri sana kwa mtu asiependa kula mboga majani.
Nashukuru sana
mdau aliezungumzia upatikanaji wa bacon ya ng'ombe, nikweli kwa ulaya
kupata bacon ya ng'ombe ni adimu sana ila hapa kwetu Tanzania
zinapatikana kwa wingi ukienda katika supermaket kubwa au maduka makubwa
ya nyama utapata.
0 comments:
Post a Comment