Friday, 8 November 2013

KANSA YA SHIGO YA KIZAZI {CERVICAL CANCER}

 Tazama kansa ya shingo ya kizazi, ndio kansa inayoongoza katika kansa zote zinazowapata wanawake. Huchukua 20% ya kansa zote zinazowapata wanawake.
Hizi ni baazi ya shingo za vizazi zilizotolewa ili kusaidia kupunguza ukali wa ugonjwa.
Kansa hii hutibika iwapo itawaiwa katika hatua za awali.

Add caption


Add caption


0 comments:

Post a Comment